Naomba msaada wa mawazo

Mmalavi

Member
May 25, 2020
10
7
Nimemaliza kidato Cha 6 nimepata div. 4 point 18 yaani E, S kwakuwa ndoto zangu zilikuwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu na kurudia mtihani wa kidato Cha 6 sitaki, je nikisoma foundation programme itanisaidia? Au nifanyeje ili nitimize malengo
 
Je advance umesema combination gani?
 
Nimemaliza kidato Cha 6 nimepata div. 4 point 18 yaani E, S kwakuwa ndoto zangu zilikuwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu na kurudia mtihani wa kidato Cha 6 sitaki, je nikisoma foundation programme itanisaidia? Au nifanyeje ili nitimize malengo
pitia NACTE Kisha chuo kikuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom