Naomba msaada wa mawazo wa namna ya kuishi na wakazi wa Arusha

Habari wakuu,


Sikuwahi kabisa waza kuwa nitaishi Arusha,

Kutokana na tabia zao tangu nasoma nao, ukorofi, kujidai, misifa, ulevi, kupenda fedha n.k n.k

Sasa nina zaidi ya wiki tatu, sina pa kutembelea wala rafiki.

Naenda tu job, nikitoka narudi home kulala!

Nawaogopa hawa watu balaa wala kufanya nao mahusiano yoyote yale.

Naomba msaada, niishije Arusha?
Ishi maisha yako unavyojua wewe. Kama ni mhudhuriaji ibada fanya hivyo, kama ni mtokaji fanya hivyo. Kila mtu na maisha yake, unataka nini kutoka kwa kila mtu mtaani?
 
Back
Top Bottom