Naomba msaada wa mawazo wa namna ya kuishi na wakazi wa Arusha

Hatuna tabu watu wachugaa. Jichanganye kwenye saloon unapo nyoaa, iwe ni sehemu yako ya story ukitoka job jirani kama kuna duka Jenga mazoea na muuza duka uwe unapiga piga nae story....je epusheee na umbeaaa, maneno mengi, majisifu au kujidai chugaa utaishi kwa raha
 
Wabaguzi sana japo wengine hawajishitukiagi, wana ukabila, ukanda na ujuaji wa kipumbavu sana, wana chuki sana na watu wa kanda ya ziwa kwa sababu za kipumbavu vilevile za vyama na wivu wa kabila kubwa la Sukuma.

Ukiona wanakupenda jua wanakuvizia iwapo una faida za kimaisha kwao.
 
Biashara matangazo

Huko PM waje kufanya nini?

Watu wa arsh wanaishi km walivyo mikoa mingine. Kama una ki herehere utapata tabu sana
 
Chuga ni kwa washamba waliofikia level ya juu.

Wanajiona na kufuatilia watu kama Cariha anavyosema.

Tena bora ukitokea Moshi, Same, Babati, Karatu na maeneo jirani kidogo watakuona mwenzao, lakini nje ya hapo wanakuchukulia kama mjinga fulani, ni watu wa tambo sana.

Na usele wa kipumbavu
 
Hatuna tabu watu wachugaa.....jichanganye kwenye saloon unapo nyoaa,iwe Ni sehemu yako ya story ukitoka job,jirani Kama Kuna duka Jenga mazoea na muuza duka uwe unapiga piga nae story....je epusheee na umbeaaa,maneno mengi,majisifu au kujidai chugaa utaishi kwa raha
Asante sana, huu nime ubeba

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Arusha ni moja ya mikoa iliyotekwa na makabila ya kila aina na hakuna huo ubaguzi unaouogopa. Usitishike hapo kuna wachaga, warangi, sambaa, nyaturu nk wengi sana kuliko wenye mkoa wao na Hawa ndio wanajifanya wenye Arusha na mambo ya kishamba.
 
Arusha ni moja ya mikoa iliyotekwa na makabila ya kila aina na hakuna huo ubaguzi unaouogopa. Usitishike hapo kuna wachaga, warangi, sambaa, nyaturu nk wengi sana kuliko wenye mkoa wao na Hawa ndio wanajifanya wenye Arusha na mambo ya kishamba.
Nashukuru

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Wabaguzi sana japo wengine hawajishitukiagi,wana ukabila,ukanda na ujuaji wa kipumbavu sana,wana chuki sana na watu wa kanda ya ziwa kwa sababu za kipumbavu vilevile za vyama na wivu wa kabila kubwa la Sukuma

Ukiona wanakupenda jua wanakuvizia iwapo una faida za kimaisha kwao

Oh now I see kumbe wengi ndio tabia zao ,This is true nina rafiki yangu aliolewa na mtu wa chuga mfanyabiashara wa madini ni MBInafsi, mjuaji na kujimwambafai, The guy was very rich lakini ana roho mbaya, majigambo, chuki , wivu wa maendelo walikuja kuachana jamaa alikua hasomeshi watoto wake waliozaa wawili wala kuudumia hakujua watoto wanavaa nini na wanakula nini,wanalala wapi alitaka kipato cha mke kitumike kuudumia Mgodi na watoto because of selfishness rafiki yangu alitoa mwishoe yakamshinda,madini yakitoka hapewi hata sent tano ya watoto akaona hisiwe tabu akajiondokea,wengi wao hawafanyi maendeleo zaidi ya kununua magari kwa ajili ya show off na enzi za kikwete walikua wanapata madini Mpaka ya bilioni 100 + na hakukua na ukuta

akaja kuolewa na muitaliano huyo rafiki yangu, she is very happy now
 
Ni watu wazur mno life style yao naipenda sana,pia wanamcha Mungu wew tu woga wako,nilisoma uko advance,aisee nilijipatia rundo la marafik na nikafundishwa kumcha Mungu, yaan tulikua masistaa duh lakin kanisan hatukos plus kuimba kwaya kwa pastor k,lilikua kanisa la kilokole nilipapenda sana Arusha,na watu wake mpaka kesho japo siishi uko
 
Back
Top Bottom