Naomba msaada wa mawazo wa namna ya kuishi na wakazi wa Arusha

  1. tembea na kitabu cha dini muda wote,
  2. ukikosa kitabu cha dini basi jitahidi uwe na ilani ya CCM
  3. vaa barakoa hata ukiwa ndani mwenu, watu wa Arusha wanapenda kukohoa haijalishi wanapiga chabo
  4. angalia TBC kipindi cha aridhio, kitakuondolea upweke
  5. sikiliza hotuba za paramagamba kabudi ukiwa unaelekea kazini, he is besti motivational le speaker in the wild of chato vumbini
  6. epusha mawazo ya mara kwa mara, ili kujiepusha na punyeto
  7. pia angalia mechi za liverpool ukiwa mpweke kwani zinaongeza hamasa
Haya bro

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Ukipata muda pitia hapo sheikh Amri Abeid stadium upande wa ofisi za basi la loliondo kuna kijiwe cha muuza kahawa na pembeni kuna kuwa na mechi kali ya draft chagua moja upande wa kahawa au draft.

Nenda angalia na kusikiliza maongezi but day two utaanza kushare kama si kucheza draft na utapata rafiki.
Haya mkuu

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Arusha washamba mno, Bora usiwe na rafiki kabisa utakuwa safe huku watu wanafatiliana ka vijijini, pia kuwa makini kutembea jioni usije kabwa na kujeruhiwa na mapanga kisa simu ya techno
Bila shaka unaishi matejo au unga ltd...pole
 
Back
Top Bottom