BASHADA
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 513
- 148
JAMANI WANA JF,
Mimi ni baba wa watoto wawili, na huyo wa pili sasa ana miezi 11. Tatizo langu kubwa ni kuwa huyo mdogo ana tatizo ambalo wataalam wanasema ni Henia. Kwenye sehemu zake za siri (juu ya penis) huwa akilia au akiwa anajisaidia panavimba sana na inaonekana anaumia sana. Hivi majuzi akiwa anajiasaidia kwenye poti nikaona pamevimba nikapaminya nikasikia sauti ya kitu kama povu kwenye sehemu hiyo (kwa ndani), which means kuna uwazi kwa ndani ambao akilia au anapojisaidia panajaa kitu kama hewa. Nimeenda hospitali wanasema anatakiwa afanyiwe surgery ili huo mshipa uondolewe. Baada ya kutoka hospital watu wengi ambao nimekutana nao wananishauri asifanyiwe hiyo surgery badala yake nitafute dawa za asili. Tatizo langu hizo dawa sizifahamu, japo kuna chache nimefanikiwa kuzijua lakini bado hazijasaidia.
Swali langu

- Je hili tatizo linasababishwa na nini?
- Na pili ni kwamba nahitaji msaada wa wana JF kama kuna mtu anayejua dawa ya kuondoa hilo tatizo bila kupasuliwa. Au pia kama hakuna option nyingine basi nikubali tuu hiyo surgery.