Naomba msaada wa kwenda kusomea uchungaji

Kumbe Wasabato wanasomea Uchungaji...??? Nilikuwa sijui....Kumbe mnayo Theology...??

Hawa watu kwa ku-copy na ku-paste hajambo.... Anyway Wasabato siyo Wakristo....Wanajivika joho la Ukristo...Dahh
 
Futa kwanza nadharia ya kusomea uchungaji. Sema unakwenda kusomea theology. Kimsingi uchungaji hawasomei. Na kuna tofauti kubwa kati ya uchungaji na theology. Pale Tumaini Iringa wanabeba hadi kidato cha nne.
 
Kumbe Wasabato wanasomea Uchungaji...??? Nilikuwa sijui....Kumbe mnayo Theology...??

Hawa watu kwa ku-copy na ku-paste hajambo.... Anyway Wasabato siyo Wakristo....Wanajivika joho la Ukristo...Dahh

naheshimu mtazamo wako
 
JAcobunge umenikumbusha jina la mwali JAKODONDI, mtaalamu wa bookiping na Commerce Nyabehore Sekondari alikuwa msabatho ila jumamosi ukipeleka maswali ya bookkeeping, anayapotezaa
 
Kwa hawa wanakondoo wa sasa hivi huna haja ya kusomea uchungaji.
Wakusanye wapige ungo ungo watatoa Sadaka tu.
 
JAcobunge umenikumbusha jina la mwali JAKODONDI, mtaalamu wa bookiping na Commerce Nyabehore Sekondari alikuwa msabatho ila jumamosi ukipeleka maswali ya bookkeeping, anayapotezaa

huyo ni ndg yangu kwa jina lingine ni jangudu au bro josse###amenifundisha o-level pr Raphael odunga ss,,na sasa nasikia yupo bwasi ss
 
Back
Top Bottom