stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,227
- 5,132
Naomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani mkuuNaomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Simu yako ilikua synced to Gmail yako
Tumia Google Find my phone app.
Kujua Location yake
Then Nenda kachukue RB policy na jaribu kuzunguka nao ilo Eneo husika
Hii ni Kama first aid lakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda karipoti polisi kwanza. Hao ndio watathibitisha kuwa wewe ni mmiliki na sio tapeli unayetaka kudhulumu simu ya watu
Sikukatishi tamaa ila Mkuu IMEI namba inabadilishwa ndani ya dakika kadhaa, kama ni samsung yaweza kusoma sony, nokia n.k
Kwa kweli TCRA iongeze mitambo ya kisasa zaidi.
Pili Mkuu kibongo bongo kukamatwa kwa njia ya kutrace ni ngumu mno, sana sana watajua yupo kijiji kipi. Mbali na hapo itabidi watumie data za mtu anaishi wapi n.k kupitia NIDA.
Sent using Jamii Forums mobile app
100% japo hili hufanywa na mafundi wasio waaminifu. Kitendo cha mtu kuja ofisini kwangu na kuomba nimbadilishie imei nakuwa nahusika mojakwamoja na wizi.
Inawezekana kabisa mkuu, muhimu ni kutoa ushirikiano. Kuna njia ambayo polisi huitumia wakishindwa kutrace mojakwamoja (sitaiweka hapa ili kutoharibu kazi za wanausalama wetu)Sikukatishi tamaa ila Mkuu IMEI namba inabadilishwa ndani ya dakika kadhaa, kama ni samsung yaweza kusoma sony, nokia n.k
Kwa kweli TCRA iongeze mitambo ya kisasa zaidi.
Pili Mkuu kibongo bongo kukamatwa kwa njia ya kutrace ni ngumu mno, sana sana watajua yupo kijiji kipi. Mbali na hapo itabidi watumie data za mtu anaishi wapi n.k kupitia NIDA.
Sent using Jamii Forums mobile app
That's not how it worksNaomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye vifaa na technology ya kutrace simu hata kama imebadilishwa imei number ni TCRA tu sio polisi. Acha upotoshaji.Inawezekana kabisa mkuu, muhimu ni kutoa ushirikiano. Kuna njia ambayo polisi huitumia wakishindwa kutrace mojakwamoja (sitaiweka hapa ili kutoharibu kazi za wanausalama wetu)
Naomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo
Sent using Jamii Forums mobile app
HATA KAMA EMEI IMEBADILISHWA BADO INAKUBALI KTK TRACKING SYSTEM?Wenye vifaa na technology ya kutrace simu hata kama imebadilishwa imei number ni TCRA tu sio polisi. Acha upotoshaji.
Technology hii Ina uwezo wa kutafuta simu popote pale nchini hata kama simu yenyewe imezimwa.
Sent using Jamii Forums mobile app