Naomba msaada wa kuunganishwa na wadau mbalimbali wa masuala ya muziki

Mr possibility

Senior Member
Mar 19, 2020
175
134
Acha niende moja kwa moja kwenye point

Wakuu nahitaji msaada wa connection kwa wadau mbalimbali wanaojishughulisha na suala la muziki namaanisha producers nk

Shukrani 🙏
 
Mm pia naomba connection YA kazi katika media za televisheni hasa hasa TBC, wasafi tv au TVE

Naweza kutumika kama cameraman na editor
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom