Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,377
Nina ndugu yangu amekuwa anatokwa na jasho isivyo kawaida, mwili mzima, anatokwa jasho hata kama kuna baridi. Ukizingatia anaishi Arusha.
Akitoka bafuni kufika chumbani tayari ashalowa.
Je, hili ni tatizo? Kama ndio tiba yake ni nin?
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitoka bafuni kufika chumbani tayari ashalowa.
Je, hili ni tatizo? Kama ndio tiba yake ni nin?
Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app