Naomba msaada wa kutatua tatizo hili, natumia simu aina ya Tecno F1 MT6580

Kwa nini usinunue simu mpya nyingine mkuu mbona mnajidharirisha sana vijana wa sasa hivi
Kuwa na tecno fi ni kujidhalilisha? Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake

Unataka kusema kuwa kwakuwa wewe una miriki Benz kila mtu awe nayo,Mtu akileta kutengeneza ka ist kake unamwambia kuwa anajidhalilisha?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom