Jay10
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 430
- 250
Habar ya wakat huu wadau wa afya jukwaa, naomba kujuzwa pia kushauriwa juu la hili tatizo,
Mke wng ikotokea ana mawazo au stress sana akitulia sehem moja hususan kalala huanza kugeuza shingo kulia na kushoto mara povu mdomon na kukoroma huku akirusha mikon +miguu huku na kula akiwa amefumba macho then anatulia kidogo na kuendelea tena kwa muda wa zaid dk 10.
Je, hili ni tatzo gani kitaalam na je huduma gan nimpe ikitokea hvyo? Je, kuna dawa yake? wakat huo huwa hata sijui la kufanya zaid kumpepea au kumpeleka sehem yenye hewa au upepo.