Naomba msaada wa kupata namba ya waziri kivuli wa elimu au wa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kupata namba ya waziri kivuli wa elimu au wa kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pukudu, Apr 4, 2011.

 1. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  husika na heading hapo juu kwa niaba ya walimu wenzangu tulioajiriwa january mwaka huu tumedhulumiwa stahili zetu kwa hiyo naomba mwenye contact za waziri kivuli wa elimu au waziri kivuli wa kazi anipatie ili tuweze kuwasiliana naye tutoe maduku duku yetu coz hata mbunge ambaye ni wa ccm ameshindwa kutusaidia
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  mh Regia nafkiri hata wewe unaweza ukatusaidia naomba sana kama ukicome accross hii post ureply ili ujue utatuasaidia vp
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bado hamjalipwa tuu?
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Nimekupata Mkuu,nakuPM ili unipe details!
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160

  Mkuu,
  Nimefurahi sana kwakuwa umerespond ila nitakuwa mnafiki kama sintaeleza kushangazwa kwangu kwa muda ulivyoenda! Nadhani si sawa.
   
 6. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Possibly hakuiona hii thread.
   
Loading...