Naomba msaada wa kupata kazi kama Graduate Trainee

Ukitu

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
217
181
Habari Jamii forums,

Mimi ni graduate kutoka chuo cha IFM , class of 2019 , nimesomea degree ya Banking and Finance.

Naomba msaada wa kupata kazi as Graduate Trainee , wakati tukiwa chuo nilipata nafasi ya kufundishwa na bank moja jinsi graduate trainee / graduate management inavyofanya kazi , nilitokea kuipenda sana lakini pia kuweza kufahamu napenda kufanya nini kwenye career yangu sababu nakuwa na zunguka departments mbalimbali hizi ni baadhi ya sababu.

CV yangu kwa ufupi;
a) Work Experience
1.Retention Team Leader - July 2021 - to date

2.Customer service representative ( retention specialist) - Feb 2021 to July 2021

Achievements;
-Awarded certificate of stunning performance first quarter- 2nd place
-Employee with highest collection of revenue May with KPI of 90%
-Over performed May target by 8% (108).

3.Social media marketer - Freelance (Dec 2019 - to date)

Achievements;
-Generated sales ( bookings)
-Generated leads
-Increased followers and website traffic.

4.Sales and Marketing Executive- (Oct 2019 - April 2020)

Achievements;
-Generated sales
-Generated leads

5.Field Attachment ( Practical Training)
Based on structured rotations, Investment, Finance & Sales .

b) Skills;

  • learning quickly ( social media marketing is self taught through online and i have succeeded working with different safari companies)
  • Customer retention
  • Customer service
  • Sales and Marketing
  • Digital marketing
Naomba msaada atakaye weza kusaidia hii ndoto yangu itimie ,ya kazi as graduate trainee.
Graduate trainee zinakuwa applicable mpaka miaka 2 mbele baada ya graduation huu ndo mwaka wangu wa mwisho kujaribu kutumiza ndoto yangu.
Nimejaribu kuomba sana ila sijafanikiwa, GPA yangu ni 3.2 mwenye msaada naomba anisaidie , kama utapenda kusoma zaidi cv yangu naomba uni pm.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom