Naomba msaada wa kupata Email ya Vodacom

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
4,302
2,000
Nimeshangaa sana Mhudumu wa Costumer Care ya Vodacom 100 kuniambia kuwa Vodacom haina anuani ya Email ninapoweza kutuma ujumbe wangu!

Kwamba ni lazima nipitie platform ya FB ama Whatsapp kuwapata. Hakuweza kujibu swali langu kwamba kama mimi sipo kwenye mtandao wowote bali nina kompyuta tu na ujumbe ninaotaka kutuma Vodacom ni kwa faida yao, hakunipa jibu na akakata line!.

Email yao ya costmercare@vodacom.co.tz ni ya mapambo tu haifanyi kazi maana ukiitumia inakurejeshea ujumbe uliotuma na kukuambia hiyo email haifanyi kazi.

Ninaomba msaada wana baraza kama kuna anayefamu email ya kitengo chochote cha vodacom, hasa cha Public Relations anisaidie hapa.

Natanguliza Shukurani.
 
sindumwe

Member
Jul 8, 2021
17
75

esupport@vodacom.co.tz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom