Nimekuwa nikilifuta hili file baada ya saa kadhaa linarudi tena (auto backup) linakuwa na vipicha vingi na linakula space kubwa ya SD card natumia simu ya Android, naomba msaada wa jinsi ya kulifutilia mbali lisirudi tena.
Hilo folder hauna haja ya kulifuta, kwa sababu ndiyo linakuwa linahifadhi preview ya picha pamoja na video zako zote kwenye simu. Na hii insaidia kufungua media apps (apps zote zinazotumia kuview picha au kuplay videos) kwa haraka. Kwa hiyo usipoteze muda kulifuta kwa kuwa hizo thumbnails cache zinakuwa zinahidhiwa kama preview za media files.
bro mimi shida yangu nikulifuta tu.. kwasababu linachukua space kubwa
bro mimi shida yangu nikulifuta tu.. kwasababu linachukua space kubwa
nataka kulisolve tatizo sio kulikimbia.