naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

Jun 7, 2020
32
95
habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali ndugu zangu maana niliwahi kusikia kuna namna flani hapo
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,448
2,000

utasoma ila utaingia mfukoni mwako.hakuna mkopo unaweza pata hapo
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,478
2,000
habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali ndugu zangu maana niliwahi kusikia kuna namna flani hapo
CHANGAMKIA VYUO VYA PRIVATE UKAPIGE SHULE MKUU.

KOZI ZA BIASHARA/UCHUMI/FEDHA.
 
Erick Martie

Senior Member
Jun 6, 2015
184
250
Mambo yakiwa ngumu nenda Open university watakushauri either uanzie na Foundation au kama Cut point zako zinakubali ukapige degree huko, kama Bsc.Environmental health, food science na maswala ya diet e.t.c na koz zingine za sayansi, Kazi kwako muda ndo huu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom