Naomba msaada wa kujua namna ya kujaza usajili wa ualimu mtandaoni

Maccavelli

Senior Member
Jul 18, 2018
174
250
Habari wadau natumaini mko salama.
Naombeni msaada katika system ya online teacher registration kuna kipengele kimekua kigumu ktk ousel subject
Mimi nina bachelor ningependa kuchagua primary schools lakini ktk uchaguzi haipo Imewekwa kama somo naomba msaada kwa wazoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
4,570
2,000
Habari wadau natumaini mkosalama.
Naombeni msaada ktk system ya online teacher registration kuna kipengele kimekua kigumu ktk ousel subject
Mimi nina bachelor ningependa kuchagua primary schools lakini ktk uchaguzi haipo Imewekwa kama somo naomba msaada kwa wazoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chagua masomo uliyosomea chuo, teaching subject

Swala la primary au secondary nadhani watapanga wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kichaka12

Senior Member
Dec 11, 2018
103
225
Hivi walimu wa kuchagua pa kwenda na shule nw hawapo et??? bachelor unataka primary certificate aombe wapi??hayo ni matumzi mabaya ya elimu.... tuachiane fursa:D:D:D:D:p
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom