Darlis2016
Member
- Nov 3, 2016
- 81
- 25
Habari wakuu, mke wangu mzunguko wake hubadilika kila mwezi,, hapa nimechukua miezi kadhaa, Nov 2017=32, Dec 2017=25, Jan 2018 =27, febr2018=26, March =27,, na mwezi huu kaingia kwenye siku zake tar 01/04/2018 naomba kujua je kwa leo 19/04/2018 yupo kwenye siku za hatari maana imetokea ajali kazini wakati tukishiriki tendo la ndoa,,, Naomba msaada wakuu.