Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,880
4,508
Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi.

Shukrani!!
 
Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer)kinachopatikana dar au Dom.Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi.

Shukrani!!
Ufaulu wako ukoje? Vyuo vizuri vina ushindani hasa

Watoto wengi waliotaulu masomo ya dayanso vizuri hujiunga navyo.Tuwekee pass zako kwanza
 
Ufaulu wako ukoje? Vyuo vizuri vina ushindani hasa

Watoto wengi waliotaulu masomo ya dayanso vizuri hujiunga navyo.Tuwekee pass zako kwanza


Physics D

BIOS C

CHEM D

MATH C

ENGLISH B.

Nataka nimpeleke dogo KAM college sijui kama atafanikiwa kuchukuliwa kwa alam hizo.
 
Back
Top Bottom