Naomba msaada wa kujua cha kusoma nitakaporudi tena chuo

Hata kuandika hujui bora tu ukae uangalie kitakacho tokea na hadi hapo ulipo hujui cha kusomea bora tu uache shule.

Maana yake, hujielewi kabisa.
 
Hasara za kuangalia movie naa series ya kizungu ndio haya.

Dunia!!!! wakati walihakiwa mataifa makubwa na kudukuliwa., Na haimaanishi hawakuwa na ulinzi katika online internet aspect.

Baki hivo hivo na ndoto za alinacha.
 
Haaaa haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh teeeh.

Nimemwambia Aache porojo na aache shule maana hata uandishi wake ni janga zaidi ya tetemeko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom