BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,213
- 39,035
Hapa nakubaliana kukataa mpaka utakapothibitisha
matumizi halisi ya vifaa tajwa. Kama uko mwenyewe, ni mwanaume, kuna uwezekano kuna vifaa havitumiki hata wiki mbili mfululizo, hivyo wingi wa hivi vitu sio matumizi ya umeme.
Kuna mtu ana TV ya 180W(4), taa za nje za 90W(12hrs), Laptop ya 80W(2hrs). Huyu kwa matumizi yake, ukiyaweka kwenye bei ya umeme, bila sh 21,000 haiwezekani kumaliza mwezi kama hayuko kwenye ile Tariff ndogo, kinyume na hapo, Tariff ndogo anapata unit 75 kwa 10,000 tu na itamtosha.
Naishi na mke na hvo vitu lazma atumie daily