Naomba msaada wa kuhusu unit za umeme ghetto kwangu

Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
6,418
2,000
Hapa nakubaliana kukataa mpaka utakapothibitisha

matumizi halisi ya vifaa tajwa. Kama uko mwenyewe, ni mwanaume, kuna uwezekano kuna vifaa havitumiki hata wiki mbili mfululizo, hivyo wingi wa hivi vitu sio matumizi ya umeme.

Kuna mtu ana TV ya 180W(4), taa za nje za 90W(12hrs), Laptop ya 80W(2hrs). Huyu kwa matumizi yake, ukiyaweka kwenye bei ya umeme, bila sh 21,000 haiwezekani kumaliza mwezi kama hayuko kwenye ile Tariff ndogo, kinyume na hapo, Tariff ndogo anapata unit 75 kwa 10,000 tu na itamtosha.

Naishi na mke na hvo vitu lazma atumie daily
 
Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
540
1,000
Fiksi nyingine hazijaenda shule kabisa yani
Kabla ya kubisha fanya utafiti, ninachoongea ni kweli, and km unabisha naweza kukuelekeza ukakopi mfumo wangu hutojuta, umeme nlifunga mwenyewe, jiko plate 2laki 3.7 unazo tuwasiliane nikuuzie ninayo ya kutosha na usafiri juu uangu hadi ulipo
 
Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
540
1,000
Nakuonea wivu. Mie umeme wa elfu 60 kwa mwezi niligombana mpaka na Tanesco kumbe usengerema friji la mtumba bwana. Nilipata dezo kumbe capacitor kubwa japo ni imara sana.
Mi fridge nlikuwa nayo ya mtumba yenyewe tu ikawa inachapa umeme wa elf 6 kwa mwezi tena hapo usiku inazimwa, nikaiuza kwa mkopo nikazurumiwa sikuambulia hata chapa, nikanunua ya mchina enrgy saver kwa milioni moja, jiko energy saver yapo plate moja laki na themanini na plate2. Laki tatu unusu. Nimenunua plate 2 kweny 77, ila kabla nlitumia plate moja kwa miaka km 4
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,041
2,000
Nakuonea wivu. Mie umeme wa elfu 60 kwa mwezi niligombana mpaka na Tanesco kumbe usengerema friji la mtumba bwana. Nilipata dezo kumbe capacitor kubwa japo ni imara sana.
60K kwa mwezi ni elfu 2 kwa siku ambayo ni fea kabisa. Usilisingizie friji la watu asee
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,041
2,000
Kabla ya kubisha fanya utafiti, ninachoongea ni kweli, and km unabisha naweza kukuelekeza ukakopi mfumo wangu hutojuta, umeme nlifunga mwenyewe, jiko plate 2laki 3.7 unazo tuwasiliane nikuuzie ninayo ya kutosha na usafiri juu uangu hadi ulipo
Kwa mwezi unatumia umeme wa shingapi, jumla?
 
Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,734
2,000
Mi fridge nlikuwa nayo ya mtumba yenyewe tu ikawa inachapa umeme wa elf 6 kwa mwezi tena hapo usiku inazimwa, nikaiuza kwa mkopo nikazurumiwa sikuambulia hata chapa, nikanunua ya mchina enrgy saver kwa milioni moja, jiko energy saver yapo plate moja laki na themanini na plate2. Laki tatu unusu. Nimenunua plate 2 kweny 77, ila kabla nlitumia plate moja kwa miaka km 4
Duh! Ni aina gani friji ilikua ndugu?
 
Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
2,734
2,000
60K kwa mwezi ni elfu 2 kwa siku ambayo ni fea kabisa. Usilisingizie friji la watu asee
Hapana aisee. Zamani nilikua natumia elfu 30. Friji ilikua ni energy saver. Ndio maana nakuambia friji. Friji ni brand ya Australia kwa mwaka inatumia kWh 1400 unaweza kuona hapo jinsi gani inakula umeme. Ina capacitor kubwa.
 
Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
540
1,000
Ila taa vymbani nimefunga watt 5 nje watt 5 na zipo kama taa 6 zinakesha. Ndani kuna taawatt 3 vyumba vya kulala vyotw na sebuleni kuna taa4
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,552
2,000
Habari! Poleni kwa kazi

Naomba mnisaidie kuhusu unit za umeme.Je n hak kulipa 7000 kwa units 20? Nmetumia kwa muda wa mwez 1 na wiki kama 1.Mchana huwa cshind ghetto.

Natumia pas ya umeme kwa nadra,nna taa 3 "zitumiazo umeme kidogo"japo huwa czm 1 uck , LED TV na jag la kuchemshia maj maana naweza kuchemshia maj ×2 kwa cku.Je n haki kulipa 7000 kwa ma2miz haya?
Hapo mchawi ni jagi la umeme, hayo majitu yanatumia sana umeme, kula units moja ni dk kadhaa tu!!na hiyo pasi ya umeme.7000 ni kiwango sahihi kabisa kwa hayo matumizi yako.
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,552
2,000
Funga sub meter tu ndiyo dawa. Tangu nimefunga hakuna usumbufu. Ukiniomba hela ya umeme, naangalia kwenye sub meter yangu. Nitakazozipata unit nazidisha mara 350 kisha naongeza unit 2 kwa taa za nje.
Sub meter ipo ya 35000 na 100,000
Ilikuwa baada ya siku 7 unatoa 5,000 ikopiga hesabu kwa mwezi mzima nimelipa 20,000 umeme tu
Wala haitamsaidia kitu kwani kwa kulingana na vitu vyake alivyosema hapo juu, na hasa kwenye jagi la maji ambalo anatumia mala mbili kwa siku kwa mwezi kutumia units 20, ni halali kabisa wala hana haja ya kumtafuta mchawi!!yaani wastani wa units 0.7 kwa siku
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom