Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

Raaj

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
205
29
Habari ndugu zangu wana Jf,

Nimenunua Kitochi 4G ya Vodacom sasa ninahitaji huduma ya ku unlock hiki kitochi ili line namba 1 ikubari mitandao yote

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani inatumia line za coda tu zote mbili ana waeza weka moja coda nanyingine ukaweka line tofauti na voda?..na vp kako poa kwenye kukatumia na sie tukajaribu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu laini namba 1 ndio inatumia voda na namba 2 ni mitandao yote, kwenye suala la internet line namba 1 ndio inafanya kazi kwa kiwango kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom