Naomba msaada wa kufahamu namna ya kutengeneza pop corne za vanilla na hatua zake zote nipo moshi mjini

duh moshi anakujaga yule jamaa anajiita ujasiriamali kwanza ebu jaribu ulizia waliouzuria mafunzo yake maana huwa anatangazaga sana hizo habari za vanila
 
Unajua sisi wajasilia mali tunapokuwa tunaanza biashara tunapishana sana na semina kama hizo nipe msaada wa no za wale wanaotoa hizo semina kaka
 
duh sina Kwa kweli ila nazani ukienda fb au Google uka type ujasiriamali kwanza utapata details zao na mfundishaji nahisi anaitwa dr gama ila jina la kwanza limenitoka
 
Back
Top Bottom