Aiden paul
Member
- Jul 12, 2018
- 12
- 10
Unajua sisi wajasilia mali tunapokuwa tunaanza biashara tunapishana sana na semina kama hizo nipe msaada wa no za wale wanaotoa hizo semina kakaduh moshi anakujaga yule jamaa anajiita ujasiriamali kwanza ebu jaribu ulizia waliouzuria mafunzo yake maana huwa anatangazaga sana hizo habari za vanila
duh sina Kwa kweli ila nazani ukienda fb au Google uka type ujasiriamali kwanza utapata details zao na mfundishaji nahisi anaitwa dr gama ila jina la kwanza limenitokaUnajua sisi wajasilia mali tunapokuwa tunaanza biashara tunapishana sana na semina kama hizo nipe msaada wa no za wale wanaotoa hizo semina kaka