Naomba msaada wa kudownload video katika you tube jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa kudownload video katika you tube jamani

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by khaleedi said, Jul 25, 2012.

 1. k

  khaleedi said Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba msaada kudownload video katika youtube nitafanya ili niweze kudownload video jamani naombeni msaada wenu jamani
   
 2. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Mbona Kitu kama hiki kipo humu. Jamani msiwe wavivu kubonyeza SEARCH hapo juu...... Uwe unaangalia. Zinachosha thread za aina moja
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Yuko mtaalam mmoja alitoa maelekezo ya kudownload kitu chochote kwenye youtube.
  1. Play video unaayotaka kudownload.
  2. Wakati video inaplay nenda pale juu kwenye link yake inayoanzia na http//:www.youtube..........
  3.Futa hizi http//:www.
  4.Weka ss hapo mwanzo iwe hivi, ssyoutube............
  5. Bonyeza ENTER, hapo itadownload kiulainiiiiii
   
 4. Petersume

  Petersume Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
Loading...