naomba msaada wa kubadilisha mp4 kuwa VOB au dvxi.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
nimedownload movies kwenye kompyuta na nataka kuzicheza kwenye dvd player ya sony kupitia flash. tatizo hiyo player haichezi mp4 inacheza video clips (nafikiri ndio dvxi) pamoja na VOB. msaada please.
 
Back
Top Bottom