Naomba msaada wa kubadilisha akaunti ya you tube kuwa ya biashara kupitia simu

Cachondo

Senior Member
May 6, 2019
144
139
Habari zenu wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilifungua akaunti ya you tube ya kawaida, sasa nataka iwe ya business, nimefanya ila inaniletea password, sijui nafanyaje!
 
Back
Top Bottom