Mchana
Senior Member
- Sep 27, 2007
- 183
- 16
Waheshimiwa naombeni busara zenu na msaada kwani najua hapa ni kitovu cha mambo yote. Kuna mshkaji wangu ameniletea Blackberry kutoka USA iliyokuwa katika contract ya T-Mobile aina ya Blackberry 8320. Naomba ushauri ni wapi niifungulie hapa bongo.
Hint inatakiwa kufunguliwa kwa kutumia unlock code na sio cables)
Natanguliza shukrani wakuu!
Hint inatakiwa kufunguliwa kwa kutumia unlock code na sio cables)
Natanguliza shukrani wakuu!