NAomba msaada wa kisheria

Tareman

Member
Jun 3, 2019
53
33
Habari zenu wakuu?
nimemkopesha mtu bila maandikishiano, kwenye kulipa ananikwepa.
Naweza kumfungulia kesi?
Naomba taratibu zake.
 
Habari zenu wakuu?
nimemkopesha mtu bila maandikishiano, kwenye kulipa ananikwepa.
Naweza kumfungulia kesi?
Naomba taratibu zake.
Kama huna hata shahidi ama jumbe za simu andika maumivu... Akiwa smart hata ukienda police utaangukia pua...
 
Habari zenu wakuu?
nimemkopesha mtu bila maandikishiano, kwenye kulipa ananikwepa.
Naweza kumfungulia kesi?
Naomba taratibu zake.
 
Ninekuwekea post mbili za msaada nje ya kisheria... Akikuzingua zitumie...
Habari zenu wakuu?
nimemkopesha mtu bila maandikishiano, kwenye kulipa ananikwepa.
Naweza kumfungulia kesi?
Naomba taratibu zake.
 
Asante mkuu, japo nina voice record za makubaliano pamoja na conversation text message za mm na yy juu ya makubaliano.

Ushahidi unao tatizo ukimpeleka polisi kesi ya kupeana ela haimfungi mtu atakubali kweli umemkopesha na atapangiwa kiasi cha kukulipa mpk deni liishe sometimes inaweza chukua mda zaidi na hii ni kama atakulipa accordingly hivyo kama unamudu mchane live mmalizane kiutu uzima
 
Kama unaushahidi wa text na voice note kuna uwezekano mkubwa ukapata haki yako,maana katika mikataba sio lazima kila mkataba uwe kwenye maandishi, kuna expressly contract and impliedly contract, na unachotakiwa kufanya ni kwenda kufungua kesi mahakamani ya madai na si polisi, maana polisi wanahusika na jinai na sio madai, ingawa kuna wakati polisi wanaweza wakaifungua hiyo kesi yako kwa kosa la (kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu) hivyo basi baadae mahakama ndo itaidentify ni mali gani? Ninachokushauri Mimi usifungue jinai(polisi) Ila fungua madai (mahakamani) ingawa kwenye madai no one loose all and no one gain all.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom