Naomba msaada wa kisheria

Keben

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
725
173
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
 
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo. Je naweza kumshtaki?
 
..
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
.ushahidi uliopo Ni wa namna gani?
 
Huo ni umbea na sio ushahidi here say evidence is not alowend bfr th court of law....huo ushahidi wa kusikia hautoshi kumtia mtu hatiani ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom