Naomba msaada wa kisheria na taratibu juu ya usitishwaji wa mikataba na project mbalimbali

galaxy jose

Member
Jun 19, 2019
5
45
I declare the interest: sina itikadi yoyote ya chama, nabaki kuwa mzalendo na mpiga kura

Utangulizi; kumekua na zoezi la usitishwaji wa mikataba baina ya serikali na kampuni mbalimbali za nje mf. China, kwa mapendekezo kuwa terms za mikataba hiyo ni ngumu na za kinyonyaji.


Swali la msingi; 1. kwa nini serikali isiweke wazi mikataba hiyo ya awali mbele ya Bunge ili ijadiliwe.
2. Je, mikataba tunayoingia sasa nayo imehakikishwa vipi kuwa si ya kinyonyaji kama hakutakuwa na uwazi wa mikataba hiyo
3. Nje ya serikali kuingia kusaini hyo mikataba, ni nani anajukumu la kuhakiki kuwa ni mikataba sahh na kama nchi tutanufaika (check ana balance)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom