Naomba msaada wa kisheria kutokana na hili la kufukuzwa kazi

joyce123

Member
Mar 4, 2021
10
10
Habar ya mida wakuuu,

Nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kazi Leo kwa mazingira ya kutatanisha na bira kupewa salary yangu ya mwezi huu.

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Habar ya mida wakuuu, nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kaz Leo kwa mazingira ya kutatanisha na bira kupewa salary yangu ya mwezi huu naomba msaada wenu wakuu
Peleka malalamiko yako "idara ya kazi" watakusaidia kupata haki yako .
 
Habar ya mida wakuuu,

Nilikuw naomba mwenye kuelewa hii kitu anisaidie, Mimi Kuna restaurant nilikuw nafanya kazi takriban mwaka mmoja na nusu ila nimekuja kufukuzwa kazi Leo kwa mazingira ya kutatanisha na bira kupewa salary yangu ya mwezi huu.

Naomba msaada wenu wakuu.
Habari, ili kupata msaada wa ushauri wa kisheria katika platforms kama hizi ambazo ni free of charge, jitahidi sana kuwa muwazi. Yaani eleza story yooote kuhusu suala lako halafu wajuzi wa mambo ndio wakushauri.

Usiwape kero kuanza kukuuliza uliza ili kuweza kuelewa kisa chako kwani wengine wanaweza kukereka na kupotezea, lakini ukiwa wazi basi utakua umewarahisishia kazi na kupunguza mambo.

Natumaini utalifanyia kazi suala hilo
 
Back
Top Bottom