Naomba msaada wa Kisheria Kuifuta CCM

Kichwa cha habari hakiendani kabisa na yaliyomo kwenye kifungua mada ambayo inaonekana kuwa ni copy-and-paste work tu inayomhusu Kingunge. Eti "Wana CCM tusaidieni kuiua CCM"! Kuweni reasonable jamani siyo mnatumia sentiments kudai mambo yasiyoweza kutendeka.
 
Nalala nasali Lowassa na Rostam na wenzake wajiengue CCM waanzishe chama chao! Lakini sijui kama wana ujasiri huo?
 
Asante Ochu,
Jamani wote tuitafute ilani ya chama then tuangalie na katiba ya nchi then tuwape akina Mtikila wacheze navyo mahakamani. Tusikate tamaa. Halafu kikubwa, kuifuta ssm ni kushawishi wanachama wajiengue huko kikwelikweli. Tuanzie sisi wasomi. Nikuulize je, una kadi ya uanachama wa ssm? Kama unayo hadi leo unahesabika kama mwanachama hata kam hutapiga kura then karatasi ya kura lazima ipigwe kwa lengo la kuonyesha umma kuwa wana ssm wote walipiga. Basi inachekesha utakuta hata wengine walishakuwa marehemu say ten years ago lakini wanapigishwa kura!!!!! Aui mama yangu eh. SSM mbinu ni nyingi za kushinda ila tukiamua ni kujitoa na kushawishi wengine wa jitoe. Tukitumia sakata la EPA, RICH wa Monduli na mengineyo tutaweza kufanikiwa.
 
Kichwa cha habari hakiendani kabisa na yaliyomo kwenye kifungua mada ambayo inaonekana kuwa ni copy-and-paste work tu inayomhusu Kingunge. Eti "Wana CCM tusaidieni kuiua CCM"! Kuweni reasonable jamani siyo mnatumia sentiments kudai mambo yasiyoweza kutendeka.

Toa msaada Copy then edit alafu uwape formula wafanyenini maana umeishaona wapi kunamapungufu,ukisema bila kuonyesha kitendo unatuacha njia panda sema watumie njia gani kuimaliza.
 
Hivi nani aliwaambia vyama vinaleta Demokrasia?? mwanafilosofia huyo ni muongo ila aliwasoma wa ASIA na WAAFRIKA sehemu za kuchuma mali akaona nawapelekee ka mwiba kakumichanganya wao kwa wao ili apate njia ya kututumia na kuchuma mali.

MAWAZO yangu:yeyote anayetegemea mabadiriko kutokana na chama sijui CCM,CUF,CHADEMA PPP anaota ndoto za mchana tena za kimweli.

Maendeleo ama mabadiriko yateletwa na mtu mmoja mzalendo,mwenye nia,utashi,upendo na hali ya kufanya hivyo.
Nchi kama VATICAN, SAUDIA na zingine zinafanya vizuri japo hazina vyama.

Hao waliotuzuga demokrasia ya vyama vingi ni hao hao waliotuzunga utandawazi na soko huria.
Soko huria wapi eti TZ ishindane na UK,RUSIA,USA.Ama Bakhresa ashindane na mvuvi wa kutumia kasia.Sisi watanzania tunapungukiwa kitu na hicho kitu hakuna ambaye aeonekana kukigundua.
 
wengi sana tena kutoka upinzani,kwani wewe unafikir wapinzani wanatafuta maendeleo yako ?? ni maendeleo ya matumbo yao mkuu.

Mkamap!! Mkamap!
Nasikitika kuwa unatoa matusi kwa makusudi ya kuturudisha nyuma tusiendelee kupanga mikakati mingi zaidi ya kuiondoa CCM.

Usijali lazima tufanikiwa kuiondoa.TUMEAPA kufanya hilo.
Tunajua mbinu zao katika kura.
Tunajua mbinu zao katika kuvidhoofisha vyama vingine vya siasa.
Tunajua hoja zao za kuwachonganisha sana wananchi na vyama vingine vya siasa.

Sasa tunataka kuionyesha kuwa kuna mlango mwingine wa MAHAKAMA tunaoweza kuutumia kukomboa Tanzania.

Wanaoamini katika nia ya ukombozi kama OCHU na wengineo tupeni silaha tuishughulikie CCM mahakamani IFUTILIWE MBALI.
 
Mkamap!! Mkamap!
Nasikitika kuwa unatoa matusi kwa makusudi ya kuturudisha nyuma tusiendelee kupanga mikakati mingi zaidi ya kuiondoa CCM.

Usijali lazima tufanikiwa kuiondoa.TUMEAPA kufanya hilo.
Tunajua mbinu zao katika kura.
Tunajua mbinu zao katika kuvidhoofisha vyama vingine vya siasa.
Tunajua hoja zao za kuwachonganisha sana wananchi na vyama vingine vya siasa.

Sasa tunataka kuionyesha kuwa kuna mlango mwingine wa MAHAKAMA tunaoweza kuutumia kukomboa Tanzania.

Wanaoamini katika nia ya ukombozi kama OCHU na wengineo tupeni silaha tuishughulikie CCM mahakamani IFUTILIWE MBALI.

Mkuu heshima yako!!!
Hakuna tusi lolote hapo kwanza ni Bora ccm kuliko mahakama ama unaongelea mahakama gani na polisi gani?
Iliyowapa WEZI mda wa kulipa walichoiba? Ama iliyopitisha wauwaji kwenye mlango wa majaji na kuwaachia huru?

CCM kwa upande wa tanzania bara hua inashinda kiuhalali kabisa wala hakuna ubishi.
vijijini huko ukiwaambia CUF ama CHADEMA watakwambia huyo ndio mnyama gani wao watakwambia ni kale kachama ka mwalimu.

Wapinzani wakiambiwa wapeleke mafungu vijijini wajitanue wanahamaki wataka fungu lote liishie makao makuu ,wakipigwa bao wasema wameibiwa kazi kweli kweli.
 
Mambo haya yangewezekana Mtikila angeshayakamilisha siku nyingi. Nakupa mfano wa shauri moja tu lililofunguliwa dhidi ya Wadhamini wa CCM na likapigwa chini kilaini na Mahakama Kuu. LUJUNA SHUBI BALLONNZI vs REGISTERED TRUSTEES OF CCM 1996 TLR 203(HC)
Soma muhtasari wa shauri lenyewe uone kama inawezekana.
Headnote
The plaintiff claimed that during the era of the one-party state the ruling party, of which the defendants were its trustees, had acquired many properties through subventions from the government and compulsory contributons from millions of people, the majority of whom were, like the plaintiff, not members of the party. The funds so received as D subventions were misused or mismanaged leading to a huge debt burden upon Tanzanians. The plaintiff sought an order for the defendants to pay the said debt and a declaration that the defendants had no right to the properties they had purportedly acquired. The defendants raised preliminary objections regarding, inter alia, E non-compliance with the law for representative suits and the justiciability of the claims. The Held:
(i) Locus standi is governed by common law according to which a person bringing a matter to court should be able to show that his right or interest has been F breached or interfered with;
(ii) The High Court has the power to modify the applied common law so as to make it suit local conditions;
(iii) The rule of locus standi, in so far as it relates to human rights litigation, must be wide; but there is no basis or justification for widening it to a similar extent in a G private interest litigation as in this case;
(iv) Although the plaint does not expressly say so, it is plain that the plaintiff has purported to file the suit on behalf of himself and also on behalf of all Tanzanians who are not members of the ruling party; but as the suit has been filed without adopting the procedure laid down in Order I Rule 8 of the Civil H Procedure Code, 1966, for instituting representative suits, it is incompetent in law;
(v) Public rights can only be asserted in a civil action by the Attorney General as the guardian of the public interest and a private person can only bring such an action if he claims that the breach complained of constitutes an infringement of his private right or inflicts special damage to him in particular; I
(vi) The plaint in this case does not assert that the plaintiff has suffered
1996 TLR p205
any special damage over and above other Tanzanians on account of the A defendants' alleged misconduct:
(vii) The management of public funds, like the management of the economy and foreign policy of the country, is the prerogative of the executive which, in the exercise of its powers in that field, is accountable to Parliament and does not fall under judicial superintendance or scrutiny; B
(viii) The remedy, if any, for any wrong allegedly committed in relation to funds received by the ruling party does not lie in the judicial field.court also considered the plaintiff's locus standi..
 
Does it me I have no status to assist or answer our fellow JF member.Kindly inform. I submit.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom