Naomba msaada wa kisheria kuhusu jambo hili

OREY

New Member
Aug 1, 2012
1
0
Ikiwa mwenyekiti wa kitongoji hawajibiki ipasavyo katika kutimiza wajibu wake katika maendeleo ya kijiji. Je, mwenyekiti wa kijiji aumtendaji wa kijiji kumnyang'anya mhuri ni kosa na kama ni kosa ni hatua zipi sahihi zinapaswa kuchukuliwa?
 
Wewe ndiyo umemnyang'anya muhuri mtendaji au!? Umesema hao watendaji wa kijiji hawatekelzi majukumu yao kama inavyopaswa, unaweza elezea majukumu gani wanapwaya?

Ila ni kosa kisheria kuingilia offisi ya serikali na kujihudumia hilo litakugharimu, kuna vyombo vya kuwafikisha hao watendaji wakawajibishwe na sio kuchukua sheria mkononi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom