Black jackal360
Member
- Sep 1, 2018
- 30
- 42
Hii kesi inapande tatu kwa hio natafuta nani anaetakiwa kwenda mahakamani .
Bosi wangu alinipa kazi ya ujenzi na tukakubaliana kulipana malipo ya ujenz huo baada ya kukamilika yalitalipwa kwa cheki lakini pesa hio sikutaka kulipwa mimi, nilitaka alipwe mama yangu . Baada ya ujenzi kuisha bosi akaandika cheki na kumpa mama lakini alipofika benki aliambiwa kuwa cheki ni feki kwahio nani anatakiwa kulalamika endapo kesi hio itatakiwa iende mahakamani .
please nisaidieni wakuu