Naomba msaada wa kisheria juu ya hii kesi

Sep 1, 2018
29
125
Hii kesi inapande tatu kwa hio natafuta nani anaetakiwa kwenda mahakamani .

Bosi wangu alinipa kazi ya ujenzi na tukakubaliana kulipana malipo ya ujenz huo baada ya kukamilika yalitalipwa kwa cheki lakini pesa hio sikutaka kulipwa mimi, nilitaka alipwe mama yangu . Baada ya ujenzi kuisha bosi akaandika cheki na kumpa mama lakini alipofika benki aliambiwa kuwa cheki ni feki kwahio nani anatakiwa kulalamika endapo kesi hio itatakiwa iende mahakamani .

please nisaidieni wakuu
 
fred1149

JF-Expert Member
May 30, 2016
212
250

Mkuu unawez kumfungulia kesi wewe mwenyewe kwa niaba ya mama. Inaitwa KITE FLY. Maana ni cheki ambayo inatolewa na mtu kumbe ni magumashi
Lakini hata mama anaweza fungua kwa sababu yeye ndie mlengwa
 
Ahsante sana mkubwa unaanza nipa mwanga
 
okyo

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
2,007
2,000
Mkuu jaribu fuatilia unaeza kuta cheque ime baunsi maana akina mama sometimes wanatoa sana twisted information hivo Fanya follow up mwenyewe
 
SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,598
2,000
Ni academic question au practical? Maana njia rahisi ni kwenda kwa huyo bosi wako tu kumwambia cheki aliyotoa imekataliwa na umuombe aandike nyingine au akulipe kwa namna nyingine.

Boss wako hajatimiza sehemu yake ya mkataba (kukulipa wewe kupitia mama yako). Wewe ndio mlalamikaji.

Kutoa "cheki feki" pia kwa maana yake halisi inaangukia kwenye jinai. Mama au wewe unaweza kuanzisha malalamiko polisi na jamuhuri ikamfungulia mashtaka.
 
Sep 1, 2018
29
125
Nashukuru sana mkuu umenipa jibu ambalo nilitalajia nilipate
Ni academic question au practical? Maana njia rahisi ni kwenda kwa huyo bosi wako tu kumwambia cheki aliyotoa imekataliwa na umuombe aandike nyingine au akulipe kwa namna nyingine.

Boss wako hajatimiza sehemu yake ya mkataba (kukulipa wewe kupitia mama yako). Wewe ndio mlalamikaji.

Kutoa "cheki feki" pia kwa maana yake halisi inaangukia kwenye jinai. Mama au wewe unaweza kuanzisha malalamiko polisi na jamuhuri ikamfungulia mashtaka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom