Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,470
mwaka wetu law Udsm walikuwa wanachukua Division one tu.Naiondoa Law kwenye list. Ni Tumaini na Mzumbe pekee wanatoa ya miaka mitatu. Vyuo vingine Law ni miaka minne, ongeza na miwili sijui mmoja wa Law School.
Zingatia form six katoka mwaka 2017.
Na hiyo Law sio ugali kila mtu aweze. Kuna kada unatakiwa usome ukiwa na kipaji sio uvamie. Mtu aliyeacha chuo kimagendo hunishawishi kama anaweza faa kwa Law.
Siku hizi wameacha?