Naomba msaada wa jinsi ya kujiunga na Chuo cha Kilomo

Konki kichaa

Member
May 18, 2018
98
125
Wakuu habari nina mdogo wangu alimaliza form four Mwaka 2012 alipata ufaulu wa four ya 28.

History C
Geography D
English D
Kiswahili D
Civics D
Biology D
B/mathematics F

Sasa anahitaji akasome chuo cha kilimo lakini napata mashaka kama anaweza kukataliwa kwakua hakusoma sayansi

Naomba msaada kwa anaefahamu sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo

Je, kwa ufaulu huo anaweza kukubaliwa?

Asanteni.
 

Mr Kind

Senior Member
Mar 4, 2017
179
500
Kwa level ya certificate nafasi atapa asubuhi kabisa kwani kigezo ni pass nne tu za masomo yoyote na pass huanza na D.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom