Naomba msaada wa jinsi ya kuipata App ya Tala na Branch

MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,878
2,470
Habari ya saa hizi wanajamvi.. naomba msaada wa jinsi ya kuipata App ya Tala na Branch na pia matumizi ya hizo App.
 
Hapo shoga yako kazingua mwenyewe,
Amekosa uaminifu mm ni mdau
Sema tala wako vizuri zaidi ya hao wengine
Ukiwa unalipa kama ambavyo wewe mwenyewe unaji commit hawana longolongo kabisa yani
branch kiwango chao cha kuanzia wanakupa sh ngap?
 
Hivi branch ukitaka kufuta details zao kwenye simu,ili ukope kwa kutumia akaunti nyingine unafanyeje wakuu,maana napenda sana vya bure mim
 
Eeh kwa kudai hawajambo rafiki yangu mmoja ametupa lain baada ya kukopa tala
Lakin ajue risks zake mkuu maana kutupa lain asijezani kakimbia deni la watu.

Huyo asipolipa basi jina lake litawekwa kwenye list ya wadaiwa sugu na matapeli. Siku akiomba mkopo benki lazima wa cross check jina na wakilikuta kwenye hiyo list she/he is done. Hapati mkopo.
 
Nitamshauri ajitahidi kulipaa
 
Branch hawana akili nilikopa nikachelewesha kulipa baada ya kulipa huu mwezi wa 5 Sasa wananigomea mbaya zaidi hadi app zingine nazo zinagoma kunikopesha
 
Branch hawana akili nilikopa nikachelewesha kulipa baada ya kulipa huu mwezi wa 5 Sasa wananigomea mbaya zaidi hadi app zingine nazo zinagoma kunikopesha
Kuna apps ngapi za kukopa?? Tofaut na gala na hao branch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom