Naomba msaada wa jinsi ya Ku-Decrypt ZWER affected files

Bob laidoo

Member
Aug 19, 2019
49
17
Habari za majukum wadau wa JamiiForums,

Naitaj kujua jinsi ya kuyahuisha mafaili yaliyo athiriwa na ZWER Virus katika Computer.

Hii ni baada ya kirusi huyo kuingia na kuyafanya mafaili yote kufanana hatimaye kushindwa kufunguka kabisa.

Kwa yeyote mwenye ujuzi huo naomba maelekezo tafadhali.

Asanteni
 
Its ma pleasure to get the useful instructions from you guys, lkn naona km kuna mlolongo sn jinsi ya kuiresolve issue hii.

Naomba kuunganishwa na anayeweza akaichampion hii kwa apa dar ili tuweze kuongea.

Thank you___ !
 
Back
Top Bottom