Naomba msaada wa hili

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Najiuliza: Ni majibu yapi yamefikiwa juu ya ile tume ya uchunguzi wa lile bomu lililolipuliwa kule Arusha may 15 2013.
Pia kutokana na ile pesa iliyoahidiwa na serikali, je nani kajitokeza kumtaja mhusika wa ule mlipuko?
Naomba mniambie kwa maswali yangu hayo mawili.
 
Majibu yake ni magumu kukwambia.Hii ipo Ktk Tz pekee.Eti kosa ufanye wewe alafu ujichunguze wewe mwenyewe!!
 
ulikua ni upepo tu umeshapita mkuu. hii ndio Tanzania yetu. hatimae sisi tutakwisha watabaki wao tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom