Naomba msaada wa hili la kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,924
Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine.

otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.

Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.
 
Kama yupo dar inakuwa rahisi sana anaenda moja kwa moja pale TCU wanamfanyia huo mchakato. ila kama yupo mbali ajaribu kuwasumbuwa hao mipango wanafungua na ata kama mwisho wa kufanya confirmation ni leo anaweza kuja kuconfirm kwenye third round hilo lisimwogopeshe.
 
Back
Top Bottom