Naomba msaada wa hatua na namna za kuanzisha Kampuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa hatua na namna za kuanzisha Kampuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mlangaja, Aug 12, 2011.

 1. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF nimekuwa na maono ya kuanzisha kampuni ya uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa zao la zabibi kwa mda mrefu ila sijui hatua za namna ya kuanzisha kampuni. Nipenda kampuni ya ushirikiano yaani partnership kwani ni rahisi kwangu kuisimamia.
  Kwa yeyote anayefahamu naomba msaada wenu.
   
Loading...