Naomba msaada wa haraka kutatua suala hili

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Ndugu zanguni wana Jamii Forums habarini zenu, kwanza kabisa yote kwa yote natumaini nyote wazima

Baada ya hayo naomba mnisaidie jambo linalonisumbua, mimi ni mhitimu wa moja ya Chuo cha maeneo ya Mbeya. Kuna ndugu yangu kanishirikisha kuna sehemu pana kazi, ambapo ni maeneo ya kiwandani huko maeneo ya Morogoro.

Kila kitu ninacho ila haihusiani na kada yangu ya ualimu kwa sabbu wanahitaji cheti cha kidato cha nne pekee lakini swali langu ni Je, kuna ulazima wa kuwepo na kitambulisho? Kwa sababu mimi sina kitambulisho chochote kwa sababu ya matatizo yaliyonikuta na vipi jee? ma nina namba ya NIDA tuu zitakubalika?

Asanteni ndugu zangu.

NINA IMANI WENU HUKU NI WAZOEFU WAKUBWA
 
Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,744
2,000
Kila kazi inaainisha masharti yake na vitu vya kuwasilisha au kuwa navyo. Naamini wewe na huyo rafikiyo mko kwenye nafasi nzuri zaidi ya kujua yatakiwayo kuliko sisi. Jua masharti na uyatekeleze
 
Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,744
2,000
aliniandikia tuu kitambulisho,ambacho sina. ila namba ndio ninayo ya NIDA
Sasa mkuu kitambulisho na namba ya NIDA ni sawa? Mwambie kabisa kuwa huna kitambulisho ila una nambari ya NIDA. Kama kimojawapo kingetakiwa ingesemwa kitambulisho chochote au namba ya NIDA
 
covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,753
2,000
ndugu zanguni wana Jamii forum habarini zenu,kwanza kabisa yote kwa yote natumaini nyote wazima

Baada ya hayo naomba mnisaidie jambo linalonisumbua,mimi ni mhitimu wa moja ya chuo cha maeneo ya Dar es Saalaam kuna jamaa yangu kanishirikisha kuna sehemu pana kazi,ambapo ni maeneo ya kiwandani huko maeneo ya Morogoro.

kila kitu ninacho lakini swali langu ni Jee? kuna ulazima wa kuwepo na kitambulisho?kwa sababu mm sina kitambulisho chochote kwa sababu ya matatizo yaliyonikuta na vipi jee? kama nina namba ya NIDA tuu zitakubalika?
Asanteni ndugu zangu.

NINA IMANI WENU HUKU NI WAZOEFU WAKUBWA
isee next time km hauna kitambulisho chochote nenda kwenye serikali yko ya mtaa waambie wao wanakujua watakupa barua ya utambulisho yenye picha yako na muhuri wa serikali ya mtaa inakusaidia ila sio kila sehemu ila itakusaidia km kitambulisho.
 
qinglong

Member
Mar 23, 2017
93
150
aliniandikia tuu kitambulisho,ambacho sina. ila namba ndio ninayo ya NIDA
Kamanda kama una namba ya NIDA ni rahisi...tafuta mtu wa graphic design au IT atakueditia picha na namba yako...print hicho kitambulisho then laminate stationery...kazi itakua imeisha na utakua na kitambulisho chako mkononi.
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
isee next time km hauna kitambulisho chochote nenda kwenye serikali yko ya mtaa waambie wao wanakujua watakupa barua ya utambulisho yenye picha yako na muhuri wa serikali ya mtaa inakusaidia ila sio kila sehemu ila itakusaidia km kitambulisho.
Asante sana
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Kamanda kama una namba ya NIDA ni rahisi...tafuta mtu wa graphic design au IT atakueditia picha na namba yako...print hicho kitambulisho then laminate stationery...kazi itakua imeisha na utakua na kitambulisho chako mkononi.
asante
 
Pabloz

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
545
1,000
Kamanda kama una namba ya NIDA ni rahisi...tafuta mtu wa graphic design au IT atakueditia picha na namba yako...print hicho kitambulisho then laminate stationery...kazi itakua imeisha na utakua na kitambulisho chako mkononi.
Sio poa
Iyo ni forgery, inaweza kuleta matatizo baadae
Nenda kitua cha nida ulipojiandikisha, uwaombe watakupa soft copy ya i.d. yako
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Sio poa
Iyo ni forgery, inaweza kuleta matatizo baadae
Nenda kitua cha nida ulipojiandikisha, uwaombe watakupa soft copy ya i.d. yako
kuna uhakika wa kupata hiyo soft copy ndugu?
Kwa sbabu niliambiwa ni hadi sehemu ambapo wanapozalishia hii imekaaje
 
dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,056
2,000
ndugu zanguni wana Jamii forum habarini zenu,kwanza kabisa yote kwa yote natumaini nyote wazima

Baada ya hayo naomba mnisaidie jambo linalonisumbua,mimi ni mhitimu wa moja ya chuo cha maeneo ya Dar es Saalaam kuna jamaa yangu kanishirikisha kuna sehemu pana kazi,ambapo ni maeneo ya kiwandani huko maeneo ya Morogoro.

kila kitu ninacho lakini swali langu ni Jee? kuna ulazima wa kuwepo na kitambulisho?kwa sababu mm sina kitambulisho chochote kwa sababu ya matatizo yaliyonikuta na vipi jee? kama nina namba ya NIDA tuu zitakubalika?
Asanteni ndugu zangu.

NINA IMANI WENU HUKU NI WAZOEFU WAKUBWA
Msomi unanitia mashaka makubwa.
Uandishi wako ,🤔
 
mbotoro kivoi

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
626
1,000
Ndugu zanguni wana Jamii Forums habarini zenu, kwanza kabisa yote kwa yote natumaini nyote wazima

Baada ya hayo naomba mnisaidie jambo linalonisumbua, mimi ni mhitimu wa moja ya Chuo cha maeneo ya Dar es Saalaam. Kuna jamaa yangu kanishirikisha kuna sehemu pana kazi, ambapo ni maeneo ya kiwandani huko maeneo ya Morogoro.

Kila kitu ninacho lakini swali langu ni Je, kuna ulazima wa kuwepo na kitambulisho? Kwa sababu mimi sina kitambulisho chochote kwa sababu ya matatizo yaliyonikuta na vipi jee? ma nina namba ya NIDA tuu zitakubalika?

Asanteni ndugu zangu.

NINA IMANI WENU HUKU NI WAZOEFU WAKUBWA
fanya ku scan izo namba utapewa copy ya kitambulishooo.
upo kweli chuo au ndo swagar,,,,,?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom