Daah mzee baba hii Rav 4 model hii itakua imezalishwa kutoka kiwanda cha Toyota kilichoko katavi nadhani.Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii Rav4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.
Asanteni sana
View attachment 1288475View attachment 1288478
Kwani mkuu wewe hio unaiona ni rav 4?Ok lakini dadavua mzee vizurii
Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.
Asanteni sana
View attachment 1288475View attachment 1288478
hii gar n nzuri sana, we jaza upepo weka gar barabaran hii RAV4 n kali kinyama yaaaniiHabarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.
Asanteni sana
View attachment 1288475View attachment 1288478
Ndo umemsaidia tayari?hii gar n nzuri sana, we jaza upepo weka gar barabaran hii RAV4 n kali kinyama yaaanii
Onesha ilipoandikwa RAV4Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta.
Asanteni sana
View attachment 1288475View attachment 1288478
Alikua anakuliza huyoMzee kama ulivyo sema ni kweli toyota cami. Si rav4. Kwa kweli mimi nipo mbali dodoma huyu muuzaji yupo znz.. Nimeachana nayo.. Shukran wazee
Sent using Jamii Forums mobile app