king kwengi
Member
- Mar 25, 2018
- 22
- 11
shukrani kwa elimu mkuu
asante sana mkuuHili somo limekuja muda muafaka. Shukrani mkuu.
asnate sana ntajitahidi zaidiTunashukuru Kwa darasa hili la kilimo. Alafu hayo masomo mengine na yenyewe ungeyatagi apo chini tusome kuliko kuanza kutafuta. Ila shukrani sana ndugu. Tunaomba kama moderator utaweza ukayatagi hayo masomo mengine tukajifunza ndugu.
Jamiii Forum darasa langu na shule yangu
Asante chief, nafanya kilimo cha mboga mboga, nitakutafuta kwa ushauri.asante sana mkuu
napatikana mwenge lufungila kwa ushauri zaid ila tunamashamba darasa kibaha
Hapana Kuna Wakati bamia inasumbua Sana sokoni,kisado kinauzwa 6000 >Mkuu ukilima bamia weka dhamira ya kugangia njaa tu ila km ndo unataka ikuboost kiuchumi dah nahisi bado sio choice nzuri maybe ulime ekari kadhaa bora hata ulime matikiti tu ukomae siku zako 90 ufe na chako kuliko hizo bamia
Anyway binafsi wengi niliowaona wakilima bamia huwa wanagangia njaa na hasa huwa wanalima msimu huu wa kiangazi ktk mashamba yenye unyevu hasa ya mpunga,By the way bamia siijui kiundani so ngoja tusubiri mawazo tofautitofautiHapana Kuna Wakati bamia inasumbua Sana sokoni,kisado kinauzwa 6000 >
Sasa Kuna mbegu fulani niliona mahali inapanda kama mti Ile unachuma mpaka unaacha
Na ukumbuke Kila kilimo kikifanywa kwa usahihi kina faida
Matikiti nayo yameliza watu kwa namna yake
Habari yako...Hawa jamaa wa multiflower bado wanajihusisha na hicho Kilimo?kuna kilimo cha contract cha bamia na kampuni ya multiflower kama vp ni PM nikupe full data
Kama bado wanajihusisha naomba mawasiliano yaokuna kilimo cha contract cha bamia na kampuni ya multiflower kama vp ni PM nikupe full data