Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,347
Ni ile ina harufu na langi ya maziwa maziwaNenda soko la Kariakoo maduka ya zana za kilimo ulizia dawa inaitwa LAVA.Hi ni kiboko changanya na maji puliza ndani ya nyumba,vitanda na chaga zake.Utateta mrejesho nina hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app