Naomba msaada wa Dawa ya kuua (bedbugs) kunguni

imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,939
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,939 2,000
Nasikia tandu wanafata mende chumbani
Kwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.

Ila usiku ule sikulala nikawa najuta kivyangu
 
kadagala1

kadagala1

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
5,901
Points
2,000
kadagala1

kadagala1

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
5,901 2,000
Kwa sababu ulikuwa ni usiku wa Mvua nadhani edha alikuwa anakimbia maji au alikuwa kwenye mishemishe zake kitu ambacho kama ningelala kwenye kitanda changu kama kawaida yangu tusingekutana.

Ila usiku ule sikulala nikawa najuta kivyangu
Alining'ata sikioni nikiwa nimelala sitasahau aisee
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,939
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,939 2,000
Sky Eclat yaani shemeji yako alijaribu kunifariji kwa kila hali lakini wapi!
Uongo mbaya ilifikia hali na yeye akachoka akapitiwa na usingizi akalala
 
Forum statistics

Threads 1,334,368
Members 511,983
Posts 32,474,099
Top