Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

Hyo twigaphos inabalaa inaua wote fasta tu ikimgusa anakauka hapo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Atumie hiyo mimi nina miaka kumi nilishawasahau hawa wadudu nilileta vijana wa shamba toka kigoma balaa likaanza mabegi yalikuwa na kunguni wa kutosha nashangaa umekaa kwenye sofa unapigwa kimya kimya kuangalia la haula kunguni ikabidi nifanye fumigation mpaka leo nasikia kwa watu tu
 
Poleni sana, mnatumia nguvu kubwa sana kuwaua hao wadudu wakati dawa yake ni ndogo sana.

Maduka ya pembejeo za kilimo wana dawa inatamkwa (dayazone), hii dawa ni kiboko.

Inawaua kwa harufu yake tu, wanavimba na kupasuka kama wote, popote pale ambapo harufu itafika.

Huhitaji kutoa vitu vyako ndani wala kuchemsha maji wala kujinukisha mafuta ya taa wala petroli.
Lakini si inalazimu kuhama chumba au nyumba kuepuka madhara yake? Kwa kumbukumbu zangu dawa hiyo inaitwa Diazinon.
 
Waafrika wakihadithiana uchafu wao hivi hili bara mtaelimika lini?

Nimekaa Italy 6yrs sijasikia huu upupu dah poor country with poor dirty stupid people!!!
Huna unalojua bwege wewe, nani kakwambia kunguni wanatokana na uchafu! wale hata uwe msafi vp? akitimba tu ndani ya wiki wanakuwa wa kutosha kama jeshi la vietinam.

kutokuwepo kwa kunguni italy inaweza kuwa sababu ya hali ya hewa na sio usafi.

italy hawawezi ruhusu watu wenye umeme mdg kichwani kama ww?
 
Hii habari inaniumiza,,hawa kungui wanamtesa mdogo wangu wa kiume nyumbani,,halafu ni chumba chake tu,,,hizo mbinu zote mlizosema zimetumika ila bado,,mpaka Wakati mwingine analala sebuleni,,, yani mpaka nahofia atapata madhara mana kila siku mafuta ya taayanamwagwa chumba anacholala

hawa jamaa walinisababisha nikaenda duka la kilimo nikanunua kemikali za kutosha... nimewaua kama nini... na hiyo vita ya kuwaua.. hadi panya, mende, nao walifariki wote..

maana nilimwaga dawa nyumba nzima.. na kufunga mapazia.. kisha nikaenda ishi guest siku 5...

nilivyorudi msiba ulikuwa mkubwa mpaka mijusi nao hawakupona

kunguni hawafi kwa sumu nyepesi... sumu yao hata kwa binadamu hatari sana.. unaweza pata cancer ukiivuta muda mrefu... diaznon chemical ndio scientific name za dawa za kuua kunguni
 
Huna unalojua bwege wewe, nani kakwambia kunguni wanatokana na uchafu! wale hata uwe msafi vp? akitimba tu ndani ya wiki wanakuwa wa kutosha kama jeshi la vietinam.

kutokuwepo kwa kunguni italy inaweza kuwa sababu ya hali ya hewa na sio usafi.

italy hawawezi ruhusu watu wenye umeme mdg kichwani kama ww?
Ila mkuu ukweli ni kwamba kunguni usababishwa na hayo mazingira ambayo yanajumuisha na uchafu. Wewe kwako panaweza pakawa ni pasafi lakini kama utatembelewa na mtu aliyetoka kwenye hayo mazingira machafu na akawa amekuja na hao kunguni basi nawe utawapata ndani mwako. Lakini chanzo cha wewe msafi kuwapata kikiwa ni huyo aliyekuja kwako akitokea katika mazingira machafu.
 
Duuu
 
Uongo wa mchana kweupe pee.
Kunguni wanaweza kuishi hata mwaka mzima bila kunyonya damu. Nenda wikipedia andika "bed bugs" kisha soma feeding cycle yao!!
Usihangaike na Google, nenda moja kwa moja kwenye field kisha tuletee utafiti, nilichokisema kina ukweli wa 100%
 
Huna unalojua bwege wewe, nani kakwambia kunguni wanatokana na uchafu! wale hata uwe msafi vp? akitimba tu ndani ya wiki wanakuwa wa kutosha kama jeshi la vietinam.

kutokuwepo kwa kunguni italy inaweza kuwa sababu ya hali ya hewa na sio usafi.

italy hawawezi ruhusu watu wenye umeme mdg kichwani kama ww?
Mwezi wa tatu napaa tena Italy sidhani Kama hata ushawahi tumia usafiri wa ndege au huwa mnatuona tu angani
Tabia zenu za uchafu tunazijua
 
Ila mkuu ukweli ni kwamba kunguni usababishwa na hayo mazingira ambayo yanajumuisha na uchafu. Wewe kwako panaweza pakawa ni pasafi lakini kama utatembelewa na mtu aliyetoka kwenye hayo mazingira machafu na akawa amekuja na hao kunguni basi nawe utawapata ndani mwako. Lakini chanzo cha wewe msafi kuwapata kikiwa ni huyo aliyekuja kwako akitokea katika mazingira machafu.

siku izi kwenye mabasi kuna kunguni mkuu
 
Wakuu
Mwezi wa 12 mwaka janakama likuja shemeji yenu geto, usiku hakulala analalamika anawashwa, nikampuuzia
Baada ya kama wiki nikapata tatizo la kiafya nikawa na dozi ya kama wiki 2 hivi, ikanilazimu siwe nakunywa pombe

Lahaula lakwata balaa nililokutana nalo usiku amini usiamini nimekimbia nyumba nalala gesti au kwa shemeji yenu

Kunguni wanang'ataa hadi unakasirika usiku ukianza kuingia
Nikajaribu kupuliza Rungu chupa nzima nikakaa kama siku 2, kuja kurudi mwendo uleule, sijalala kabisaa wanang'ata balaa
Ukiwasha taa usiku wanavyokimbia kujificha uwezi lala tena

Naombeni maelekezo jamani niwamalize hawa washenzi wameniathiri kisaikolojia hadi nachukia nyumba yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
dah umenikumbusha nilishawah kukesha kisa hao jamaa .nilichokifanya nikatoa godoro nje nikaweka juu ya bati km siku 3 iv afu nikatoa kila kitu ndani( sema sina vitu vingi naishi kisel) nguo nikazifua zote na kuzianika juani siku 3 na kudeki ndani baada ya apo mambo yakawa flesh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom